Facebook
Twitter
Problem melden

Haya Songtext

Haya mpaka ulaya
Haya mpaka aziya
Ata kule amerika
Unalala mutoto njiyani
Unalala mutoto inje
Ni haya
Usi ulize jina yake vile
Ju yeye, tu yeye ule
Hana jina,
Yake amejiita haya
Mutoto wa haya
Wuko inje hauliye
Ulisha kuzoweleya
Ule umasikini
Ulitafuta msaidia
Ukamukosa
Unapashwa kuiba
Ju upate cakula
Mtoto wa haya
Haya anahangayika
Haya ni malaika
Haya kwa iyi duniya...
Kweli
Ina aca mutoto njiyani
Ina aca mutoto inje
Ni haya
Usi ulize jina yake vile
Ju yeye, tu yeye ule
Hana jina,
Yake amejiita haya
Mi siweze kusahabu
Maco yake
Ananihangaliya
We haya wangu
Mi nitakosa majibu
Siku uta ni uliza
Ju ya nini ni vile ?
Ju ya nini wewe ?
News
Gabriel Kelly: Er tritt in große Fußstapfen
Vor 1 Tag
Gabriel Kelly: Er tritt in große Fußstapfen
Take That: Ebenfalls Konzert in Manchester abgesagt
Vor 16 Stunden
Take That: Ebenfalls Konzert in Manchester abgesagt

Album Ya Pili... (1994)

Khadja Nin
  1. 1.
    Sambolera Mayi Son
  2. 2.
    Mama Lusiya
  3. 3.
    African Cooperation
  4. 4.
  5. 5.
    Umenipa Njiya
  6. 6.
    Qur Pasa En El Mundo
  7. 7.
    Haya
  8. 8.
  9. 9.
    M'Barik Fall
  10. 10.
  11. 11.
    Save Us
  12. 12.
    Fiya Liberte
  13. 13.
    La Ballade De Gilles et Shana
Khadja Nin - Haya
Quelle: Youtube
0:00
0:00
Made with in Berlin
© 2000-2024 MusikGuru