Sina mali, sina deni Lyrics
von Khadja Nin
In 'Sina mali, sina deni' reflektiert die Künstlerin Khadja Nin über das Leben und das Streben nach innerem Frieden. Die... weiterlesen
Ahiya, Ahiya
Kwa baraka
Mimi napona
Kabisa, ni hajabu
Sina mwili tena
Niko sawa upepo
Mimi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina nyesha kama mvua
Ina ruka kama ndege
Ina cheka kama mtoto
Ahiya, mam'ahiya
Sina haja,ya kitu,
Mimi napona
I'm free, kama maji
Anatembeya mpaka katika pori
Mimi, mi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ota kama maua
Ina pita kama nyota
Ina waka kama jua
Pole pole mama
Wakati wangu umefika, mimi napona
I'm free, kama hewa
Ina ingiya mpaka fasi inapenda
Mimi, ni masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ona kama macho
Ina waka kama moto
Ina lia kama ngoma
I'm free kama maji
Ana tempaka mpaka kati ya pori
Kama hewa, kama macho kama nyota, kama maji
Kama mimi leo, mimi napona
I'm free, I'm free
Kama mimi leo, mimi napona
Ahiya Mam'ahiya
Sina mali, Mungu, sina deni
Kwa baraka
Mimi napona
Kabisa, ni hajabu
Sina mwili tena
Niko sawa upepo
Mimi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina nyesha kama mvua
Ina ruka kama ndege
Ina cheka kama mtoto
Ahiya, mam'ahiya
Sina haja,ya kitu,
Mimi napona
I'm free, kama maji
Anatembeya mpaka katika pori
Mimi, mi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ota kama maua
Ina pita kama nyota
Ina waka kama jua
Pole pole mama
Wakati wangu umefika, mimi napona
I'm free, kama hewa
Ina ingiya mpaka fasi inapenda
Mimi, ni masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ona kama macho
Ina waka kama moto
Ina lia kama ngoma
I'm free kama maji
Ana tempaka mpaka kati ya pori
Kama hewa, kama macho kama nyota, kama maji
Kama mimi leo, mimi napona
I'm free, I'm free
Kama mimi leo, mimi napona
Ahiya Mam'ahiya
Sina mali, Mungu, sina deni
Writer(s): Stevie Wonder
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Was als nächstes?
Dein Karma steigt mit jedem Klick! Teile den Guru-Link und bring Lyrics in die Welt.
Bedeutung hinter dem Text
In 'Sina mali, sina deni' reflektiert die Künstlerin Khadja Nin über das Leben und das Streben nach innerem Frieden. Die zentrale Botschaft des Liedes... weiterlesen
-
Beliebte Khadja Nin Lyrics
Link kopiert!
Khadja Nin - Sina mali, sina deni
Quelle: Youtube
0:00
0:00