Like an angel Lyrics
von Khadja Nin
Analiya disiwe
Mume wake
Ajali haina kinga
Wala kafara
Anaenda kijana
Maladi inamushinda
Ana aca bibi
Na mutoto mudogo
Mwanaume
Analala kimya
Like an angel
Mbele ya kufunga maco
Alimwambiya:
"bibi yangu unisamehe
Ju sina mali
Ya kukuaciya
Mungu akulinde
Like an angel"
Mawa ju kijana ule
Anaenda huruma
Mawa oh ! maliyo !
Sheria ya mungu mama
Hayijulikane
Ajali haina kinga
Wala kafara :
"kwaheli
Mpenzi wangu
Wende salama
Lala...like an angel
Like an angel"
Mume wake
Ajali haina kinga
Wala kafara
Anaenda kijana
Maladi inamushinda
Ana aca bibi
Na mutoto mudogo
Mwanaume
Analala kimya
Like an angel
Mbele ya kufunga maco
Alimwambiya:
"bibi yangu unisamehe
Ju sina mali
Ya kukuaciya
Mungu akulinde
Like an angel"
Mawa ju kijana ule
Anaenda huruma
Mawa oh ! maliyo !
Sheria ya mungu mama
Hayijulikane
Ajali haina kinga
Wala kafara :
"kwaheli
Mpenzi wangu
Wende salama
Lala...like an angel
Like an angel"
Writer(s): Khadja Nin
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Was als nächstes?
Dein Karma steigt mit jedem Klick! Teile den Guru-Link und bring Lyrics in die Welt.
-
Beliebte Khadja Nin Lyrics
Link kopiert!
Khadja Nin - Like an angel
Quelle: Youtube
0:00
0:00