Facebook
Twitter
Problem melden

My Angel (Malaika) Songtext

Harry Belafonte - My Angel (Malaika)
Quelle: Youtube
0:00
0:00
Harry Belafonte & MIRIAM MAKEBA My Angel (malaika) LYRICS

Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Ningekuoa mali we, ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina we, ningekuoa
Malaika

Pesa, zasumbua roho yangu
Pesa, zasumbua roho yangu
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika

Kidege, hukuwaza kidege
Kidege, hukuwaza kidege
Ningekuoa mali we, ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika

Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Ningekuoa mali we, ngekuoa dada
Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika
Fragen über Harry Belafonte
Wo lebt Harry Belafonte heute?
Wo kommt Harry Belafonte her?
Wann ist Harry Belafonte geboren?

Album An Evening With Belafonte/Makeba (1965)

Harry Belafonte
  1. 1.
    Train Song (Mbombela)
  2. 2.
    In the Land of the Zulus (KwaZulu)
  3. 3.
    Hush, Hush (Thula, thula)
  4. 4.
    To Those We Love (Nongqongqo)
  5. 5.
    Give Us Our Land (Mabayeke)
  6. 6.
    Beware, Verwoerd! (Ndodemnyama)
  7. 7.
    Gone Are My Children (Baile banake)
  8. 8.
    Hurry, Mama, Hurry! (Khawuleza)
  9. 9.
    My Angel (Malaika)
  10. 10.
    Cannon (Mbayi, mbayi)
  11. 11.
    Lullaby (Thula sthandwa same)
  12. 12.
    Show Me the Way, My Brother (Iph'indlela)
Made with in Berlin
© 2000-2025 MusikGuru