Facebook
Twitter
Problem melden

Mbagala Songtext

Diamond - Mbagala
Quelle: Youtube
0:00
0:00
Mhhh, mmmhhhh
Busara na upole
Na hekima niliyorithi kutoka kwa mama
Yangu, Mama
Vyote hukuvijali, huk'ona silingani
Kabisa kuwa na wewe
Kwa kuti na mkole, ukakata kabisa na
Shina la penzi langu mama
Eti kisa maali, ukaona bora uniache
Mimi na uolewe
Ile siku shekhe namuona anachoma
Ubani
Unavishwa pete unakua mke wa fulani
N'liumia sanaa, sanaa
Ile siku shekhe namuona anachoma
Ubani
Unavishwa pete unakua mke wa fulani
Niliumia sanaa, niliumia sanaa, sanaa
Tatizo kwetu mbagala, hapa nyumba
Mbele jalalaaa
Tatizo kwetu mbagala, uk'ona mapenzi
Siwezi
Ungejua jinsi gani
Machozi n'livyolia kwa uchungu wa
Penzi langu na
Mwenzio jinsi gani, vile nimeumia
Moyoni
Hata kupendwa sitamani
Utamu wa mapenzi mwenzako umekula
Kwangu ma
Mwenzio sitamaani, hata raha tena mi
Sioni
Naskia hivi sasa una mtoto anaitwa
Mamu
Vile akinuna mpaka tabasamu
M'mefanana sana.a, sana.a
Mi mwenzako tena mapenzi mi sina
Hamu
Tena nna mpango wa kuhama Dar Es
Salaam
Nataka niende mba.ali, niepuke vita na
Walimwengu
Mi mwenzenu siwezi
Repeat 2x
Mbagala, mbagala, mbagala, mbagala
Uk'ona mapenzi siwezi
Mbagala (mbagala), mbagala (mbagala),
Mbagala (mbagala), mbagala
Uk'ona mapenzi siwezi
Repeat 2x
I'm back, ladies, I'm back
Bob Junior
Mr. Chocolate Flava
Yo, I'm back, Diamond, I'm back
Share
Add comment
1 comment:
News
Sido: Seine Ex-Partnerin Charlotte Würdig hat seine Ex Georgina bei sich aufgenommen
Vor 2 Tagen
Sido: Seine Ex-Partnerin Charlotte Würdig hat seine Ex Georgina bei sich aufgenommen
Marc Terenzi: Sarah Connor wird ihn immer unterstützen
Vor 13 Stunden
Marc Terenzi: Sarah Connor wird ihn immer unterstützen
Made with in Berlin
© 2000-2025 MusikGuru