Mayo Wangu Lyrics

Lyrics
Moyo wangu.
Moyo wangu mama.
Moyo wangu mimi umeniponza mama!
Moyo wangu
Moyo wangu mama
Moyo wangu mimi umeniponza mamaa
Upole wangu simanzi Eeeh!
Kwangu kupenda maradhi iiih!
Lakini kupendwaga mi nae bahati huwaga sina...
Jichoni kwangu kibanzi Eeeeh!

Ninakapenda kamanzi Iiih!
Oooh Licha ya kumthamini kama shilingitatizo hata raha sina...
Ufinyu wa mboni zangu, unatazama mengi yanayonipa mateso
Ukweli hatakupenda sina raha!
Ona nakonda kwa mawazo.
Masikini penzi langu jina lishakatwa na kauli roho inatoka kesho
Kutwa nzima mara Eeeh!
Mara Iiiiii!
Hata najuta kupenda...
Moyo wangu.
Moyo wangu mama.
Moyo wangu mimi umeniponza mamaa!
Moyo wangu
Moyo wangu mama
Moyo wangu mimi umeniponza mamaa
Nikutwa kucha maneno,
Kosa si kosa maneno ilimradi tu karaha tantalila!(Sina raha)
Ona sina tena mipango (aah ho aah!)
Kutwa nzima nnamawazo jina Mh! aaaah! Sina raha Oooh! mama
Tamu ya wali ni nazi Eeeh!
Raha ya supu mandazi iiih!
Raha yangu me kupendwa tu naye lakini nyota sina.
Laana napata na radhi Eeeh! Nawakufuru wazazi iii!
Kwakung'ang'ana me kutaka kuwa nae lakini bahati sina!
Masikini roho yangu (roho yanguu)
Ingelikuwa ni nguo ningempa avaeK kila kona akipita wamsifie ila lakini ni kikwazo
Masikini penzi langu jina lisha
Katwa na kauli roho inatoka kesho
Kutwa nzima mara Eeeh!
Mara Iiiiii! Hata najuta kupenda
Moyo wangu.
Moyo wangu mama.
Moyo wangu mimi umeniponza mamaa!
Moyo wangu,
Moyo wangu mama,
Moyo wangu mimi umeniponza mamaa
Writer(s): Clai Map
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Was als nächstes?

Dein Karma steigt mit jedem Klick! Teile den Guru-Link und bring Lyrics in die Welt.

Alle Lyrics
Diamond - Mayo Wangu
Quelle: Youtube
0:00
0:00