Maisha Lyrics

Lyrics
Pekeyake na kusikia kwa mwezi
Yatima alilia ndani kivuli
Pekeyake na kusikia kwa mwezi
Maisha anasali kuopelwa
Amezungukazunguka mbali sana
Sasa hajui barabara ya kwake
Dunia inajua hadithi yake
Lakini nani ajua jina lake?
Mwezi, ukipo
Urudi ili atafarijiwa

Mwezi, ukipo
Urudi ili aweza kulala
Mwezi, ukipo
Urudi ili atafarijiwa
Mwezi, ukipo
Naomba kwa maisha
Urudi kwa maisha
Writer(s): שמואלי גלעד, רייכל עידן, דר אסף, 3
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Was als nächstes?

Dein Karma steigt mit jedem Klick! Teile den Guru-Link und bring Lyrics in die Welt.

The Idan Raichel Project - Maisha
Quelle: Youtube
0:00
0:00