Malikia Lyrics

Lyrics
Wengi wao wamenyosha mikono
Wataka upokezi toka kwako
Na hata wenye magari ya kifahari
Najua kwako wewe hawatoshi
Usinilenge
Usinipelekepeleke huku na kule
Uje unipende
Uje hata nao mapacha unizalie

Njoo nikumiliki milele
Malikia tuoane
Wewe ni mi
Mimi ni wewe
Na milele tupendane
Usinifungie pazia
Malikia nakuita
Usinifungie pazia
Malikia nakuita

(Malikia nakuita we uje unizalie*3)
Malikia nakuita we uje, uje

Mabepari wasio na mapenzi halali
Watazidi kukunoki hoi
Na hata wenye magari ya kifahari
Najua kwako wewe hawatoshi
Usinilenge
Usinipelekepeleke huku na kule
Uje unipende
Uje hata nao mapacha unizalie
Njoo nikumiliki milele
Malikia tuoane
Wewe ni mi
Mimi ni wewe
Na milele tupendane
Usinifungie pazia
Malikia nakuita
Usinifungie pazia
Malikia nakuita

(Malikia nakuita we uje unizalie*3)
Malikia nakuita we uje, uje

Malikia, karibia *4

End
Writer(s): Bien Aime Baraza Alusa, Delvin S Mudigi, Polycarp O Otieno, Willis Austin Chimano
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Was als nächstes?

Dein Karma steigt mit jedem Klick! Teile den Guru-Link und bring Lyrics in die Welt.

Sauti Sol - Malikia
Quelle: Youtube
0:00
0:00