Facebook
Twitter
Problem melden

Being Anglo-Saxon Songtext

Robert Garland - Being Anglo-Saxon
Quelle: Youtube
0:00
0:00
Yeaah
Messen selekta on this one
Kingkapita
Na God to the zilla
Niaje
Yes sir
Meseeeen selekta
Kiiiiing kapita
Zilaaa am in the house
Niajee

Tabia za kike kuwa na kisirani
Unanuna wakati atujuani
KUNATATIZO KWANI??
Everybody stand up
Wote put your hands up
Usione noma
KUNATATIZO KWANI??
Aliekutosa leo yupo nami
Mbona sura yako haina amani
Vipi
KUNATATIZO KWANI??
Evry body stand up
Wote put your hands up
Usione noma
KUNATATIZO KWANI

Verce 1
Baba jambazi na mama changudoa mtoto kazaliwa konda otea nini kitafatia

Hii bahati haizimwi kwa midomo form six alipata zero na leo ndo boss wao

KUNATATIZO KWANI??
Unavaa vya dukani dukani
Mimi navaa vya mtumba
We umepanga mimi nimejenga
We unashuka mimi napanda
Wewe unawaambia ukweli
Mimi nawapa propaganda
Nakura wananipa mimi
Hapo vipi
KUNATATIZO KWANI??
Aliekunyima ndo alienipa mimi hapa
Wewe unasoma Lwakatare mimi nasoma asante mkapa
Kingereza sio kujua kila kitu we baki na kingereza mimi na hustle
KUNATATIZO KWANI??
Ahh napqta uchungu mafisadi walivyo free
Bora wanangu wapige ngeta twende sawa asiii
Maraisi na viongozi wanazingua bora utumwa wa kifalme hapo je
KUNATATIZO KWANI?

Tabia za kike kuwa na kisirani
Unanuna wakati atujuani
KUNATATIZO KWANI??
Everybody stand up
Wote put your hands up
Usione noma
KUNATATIZO KWANI??
Aliekutosa leo yupo nami
Mbona sura yako haina amani
Vipi
KUNATATIZO KWANI??
Evry body stand up
Wote put your hands up
Usione noma
KUNATATIZO KWANI
Haijalishi anamabwana kiasi gani mimi na enjoy tu kuwa nae kwako vipi
KUNATATIZO KWANI
Mimi ni mkristo wewe muislam haijalishi dini gani tudumishee hii amani
KUNATATIZO KWANI
Mi nisimba we ni yanga mchezo fair play haya mambo ujajuaga?
KUNATATIZO KWANI
Haijalish unakula msosi gani
We move n pick mi nakula mtaani
KUNATATIZO KWANI
Mimi padree wewe shehee dereva roho za watu
Na amani irejeee
KUNATATIZO KWANI
Ahh mi fanani we hadhira
Haters siwaogopi mbona mmekunja suraa
KUNATATIZO KWANI??
Nimewatanguliza na baiskeli ya biscuit
Mi garika mdogo mdogo nawascut
KUNATATIZO KWANI
Wengi waliobaki ni upepo kufuata bendera hana misimamo wasaliti kama delila
Tabia za kike kuwa na kisirani
Unanuna wakati atujuani
KUNATATIZO KWANI??
Everybody stand up
Wote put your hands up
Usione noma
KUNATATIZO KWANI??
Aliekutosa leo yupo nami
Mbona sura yako haina amani
Vipi
KUNATATIZO KWANI??
Evry body stand up
Wote put your hands up
Usione noma
END
News
Hannes Jaenicke: Sein Domizil ist abgebrannt!
Vor 16 Stunden
Hannes Jaenicke: Sein Domizil ist abgebrannt!
Yeliz Koc: Jannik Kontalis teilt emotionalen Rückblick auf Beginn ihrer Lovestory
Vor 2 Tagen
Yeliz Koc: Jannik Kontalis teilt emotionalen Rückblick auf Beginn ihrer Lovestory
Made with in Berlin
© 2000-2025 MusikGuru