Oooo ooooo ooo ooo eeeee...
Aya ya ooo wowowowowwoooo.
Jamani dodoma.
Dodoma ya watanzania.
Dodoma fahari yetu.
Dodoma chaguo letu.
Dodoma yetu ileee...
Yetu wenyeweee. .
Watanzania...
Wana ccm.
Jamani.
Dodoma eeee.
Uzuri wake wa asili...
Tembelea kizota...
Nenda mpaka chamwino...
Tembelea zuzu...
Uwanja wa ndege...
Msalato.
Makole.
Kilimani.
Uwanja wa jamuhuri.
Eee...
Area c.
Jamani dodoma...
Dodoma ya watanzania aaahh.
Tuliamua wenyewe.
Ya kwamba dodoma sasa...
Iwe makao makuu ya chama na serikali ya watanzania.
Wowowoooo
Jamani dodoma.
Dodoma ya watanzania aaaaa...
Ayaya ooooee...
Ayayaaoooo.
Wowoooo ahh sure.
Dodoma ni katikati ya nchi yetu...
Ulinzi na usalama wake ni rahisi...
Hata usafiri.
Dodoma ni katikati...
Kwa wabunge na wajumbe...
Pale wakutanapo dodoma.
Jamani dodoma.
Jamani dodoma aaa ...
...
Writer(s): Remmy Ongala, Cosmas Chidumule
Lyrics powered by www.musixmatch.com