1 Prof. Jay
Nakucheck check check kila kona, Bara mpaka
Pwani bado sijakuona,
Moyo wangu unauma mie, japo nikuone mi
Nitapona,
Nimekwenda hospitali, mbali mbali wanadai dawa
Yangu ni wewe,
We ndo wangu daktari, sitapona sitaishi tafadhali
Nielewe,
Bado napenda kuishi bado nataka kuishi, nionee
Huruma mwenzio
(eeh)
Nitibu hata kwa kiss, naishi kitatanishi mpaka
Useme ndio
(eeh)
Unavyokatika katika zungusha zungusha juu
Mpaka chini mi nabaki hoi
(hoi)
Unapotingisha tingisha binuka binuka, back and
Forth mi nabaki hoi
(hoi)
Ma, unang'aa kistaa, kukuona ni adimu kama
Nyota ya jaha,
Unasifika kila kona ya mtaa, njoo kwangu unitibu
Ili nipone kachaa,
Dah, naahidi kukupenda cause nakupenda haya
Mawazo kuwa nitakutenda sitatenda,
Twende wote popote unapokwenda, nakiri mimi
Mateka na kwako nime-surrender.
Mtoto yuko kamili gado, kamili gado ooh x3
Kamili kamili kami kamili kamili gadoo
Mtoto yuko kamili gado, kamili kamili kami kamili
Kamili gadoo
2 Prof. Jay
Watu wengi mi wanishangaa, kwa nini kila siku
Mi sina raha,
Afadhali ushinde njaa, kuliko maisha yako yakose
Furaha,
Wanasema nimechizi wanasema nimenock,
Wanasema sema usiku watalala,
Njoo karibu nami tuwatoe nishai, wanoknok
Tuwatoe kafara,
Furaha yangu ni wewe maisha yangu ni wewe,
Fikra zangu ni wewe tuu,
Ndoto yangu ni wewe, maisha yangu haya hayana
Thamani bila wewe tuu,
Natamani siku moja uwe nami, kwa furaha na
Maisha yote,
Ili twende nikutambulishe nyumbani, kwa kuwa
Una sifa zote,
Nikubali uwe wangu mwandani, siku zote na
Maisha yoote,
Mapenzi yetu yachome wapinzani, daima na
Milele yoote,
Aah, you the one and only, sina nia ya kuzingua
Niamini shorty,
Usishangae wakinyoosha vidole, wanadhani uko
Single wabadili story,
We ndo wangu wife material, uzuri na tabia
Zinafuta changu kilio,
Ado ado mambo bado wape kisago, mtoto upo
Kamili gado.
Mtoto yuko kamili gado, kamili gado ooh x3
Kamili kamili kami kamili kamili gadoo
Mtoto yuko kamili gado, kamili kamili kami kamili
Kamili gadoo
Usi-niache mi
(eeh), usi-niache mi x2
Ukiacha peke yangu na mawazo nakonda
Usiache mi,
Ukiniacha peke yangu na mawazo nakonda…
(Iyee)
Mtoto yuko kamili gado, kamili gado ooh x3
Kamili kamili kami kamili kamili gadooo
Mtoto yuko kamili gado, kamili kamili kami kamili
Kamili gadooo
Nakupenda we, mi nakupenda wewe x4
Kamili kamili kami kamili kamili kadoo x4
Writer(s): Haule Joseph
Lyrics powered by www.musixmatch.com