Facebook
Twitter
Problem melden

Niko Mchumba Ngombe Songtext

Phil Ochs - Niko Mchumba Ngombe
Quelle: Youtube
0:00
0:00
Niko mchunga ngombe (I take care of cows)
Niko mchunga ngombe (I take care of cows)
Sasa sasa (now now)
Twende mbele (lets go ahead)
Chakula haina taabu (food is no problem)
Tunana mbuzi tunakula (we kill goats and we eat)
Niko mchunga ngombe (I take care of cows)
Sasa sasa (now now)
Twende mbele (lets go ahead)
Nguo haina taabu (clothes are no problem)
Tunauza ngombe sokomi (we sell cows at the market)
Taabu tunavumilia (problems...we perservere)
Niko mchunga ngombe (I take care of cows)
Sasa sasa (now now)
Twende mbele (lets go ahead)
Maisha hapita (life will pass)
Sisi tutazeeka (we will get old)
Natoto wangu watalinda ngombe (my children will take care of the cows)
Niko mchunga ngombe (I take care of cows)
Sasa sasa (now now)
Twende mbele (lets go ahead)
Havunjika kivulini (I will rest in the shadow)
Na pombe karibu yangu (and beer next to me)
Niko mchunga ngombe (I take care of cows)
Sasa sasa (now now)
Twende mbele (lets go ahead)
News
Stefan Raab und Bully Herbig: Erster TV-Auftritt endet in Niederlage
Vor 1 Tag
Stefan Raab und Bully Herbig: Erster TV-Auftritt endet in Niederlage
The Libertines: Das beste Jahr aller Zeiten
Vor 13 Stunden
The Libertines: Das beste Jahr aller Zeiten
Made with in Berlin
© 2000-2024 MusikGuru