Nimechoka kusubiri
Namachozi kunitoka, kutwanzima nakuwaza we eeh. we
Nimechoka kusubiri, haya machozinayo kunitoka
Kutwanzima nakuwaza we eeh. we
Ninamawazo juu yako wee
Weeeee eeeh... weeee
Nambayacmu nimepoteza yako
Oooooh... ooooo
Lalalala aaa. baby baby aaa
Lalalala aaa baby eeh baby
Unapokuwa mbali, mpenzi nakuwaza wewe
Ninapokuwa mbali, nawe waniwaza miye
Say Yeah yeah yeah
Mpenzi usiniache
Say wooh wooh wooh
Ukiniacha nitateseka aaah.
Mawazoni nakichwani
Kukuwaza Wee...
Ukiondoka uwembalini nakuwaza wee.
Moyo wangu sikama wachuma, unahisia Eeh...
Ukiumizwa unaumika kama sasa upo Eeh
Wewe tu kuku bali upona mimi moyoni
Na mimi tu kukubali nipo na wewe moyoni...
Wangu wewe ukopeke yako sinawizi kwenye penzi wewe tu wewe
Unapokuwa mbali mpenzi nakuwaza wewe
Ninapokuwa mbali nawe waniwaza miye
Say Yeah yeah yeah
Say wooh wooh wooh
Ukiniacha nitateseka aaah
Rudinyumbani sura yako siioni
Nimekumic weniwangu na wewe upo moyoni
Ona unavyoni nyanyasa nyanyasa
Nakuwaza we umeondoka mbalinaupeo, unaniumiza roho
Oooooh.
Unapokuwa mbali mpenzi nakuwaza wewe
Ninapokuwa mbali nawe waniwaza miye
Say Yeah yeah yeah
Mpenzi usiniache
Say wooh wooh wooh
Ukiniacha nitateseka
Unapokuwa mbali mpenzi nakuwaza wewe
Nawe waniwaza miye
Say Yeah yeah yeah
Say wooh wooh wooh
Ukiniacha nitateseka aaah
Lyrics powered by www.musixmatch.com