Facebook
Twitter
Problem melden

Soul Makossa - Final Songtext

Manu Dibango - Soul Makossa - Final
Quelle: Youtube
0:00
0:00
Uuuuuuu wowowoooo
Yeah yeah yeah yeah yeah
Manuuuu, Vuvuzela production
Yeah ooooooooooooh yeah
Unanipenda na wala Baba hautanitenda
Nikifanya tu vile unavyopenda Baba baba
Kama nilisafiri mi kutoka mbali,
Sikujua kama nitafika,
Japo majaribu yalizidi kila hali,
Nikazidi kusita,
Niwewe niwewe hakuna mwingine kama wewe
Niwewe niwewe hakuna mwingine kama wewe,
Mi sikupi pesa ndo unipe uhai,
Noooooooooo
Ata kama mbele yako mi najiona sifai,
Nina, kila sababu ya kusema baba,
Nina, kila sababu ya kusema Baba
Unanipenda, na wala Baba hautanitenda,
Nikafanya tu vile unavyopenda,
Babaaa babaaaaa,
Nikitembea kila mahali nisipokuwa na wewe, Mi nahisi sina raha,
Ulivyo mi nipenda ukafanya nijielewe,
Kwamba wewe wanifaa, huniwazii mabaya waniwazia mema, ata usiku nikilala, kila mara nitatii kile unachosema, Nisikuudhi weBaba
Nikitembea kila mahali nisipokuwa na wewe, mi nahisi sina raha, Ulivyo mi nipenda ukafanya nijielewe kwamba wewe wanifaa, Huniwazii mabaya waniwazia mema, Ata usiku nikilala
Kila mara nitatii kile unachosema nisikuudhi we Baba,
Unanipenda, na wala Baba hautanitenda,
Nikifanya tu vile unavyokapenda, Baba baba

Unanipenda, Na wala hautanitenda,
Nikifanya tu vile unavyopenda,, Baba babaBaba ×2
Baba pendo lako ni la ajaabu sana,
Baba, pokea zangu shukrani
Baba, pendo lako ni la ajabu sana baba, pokea zangu shukrani

Unanipenda, na wala baba hautanitenda,
Nikifanya tu vile unavyopenda, Baba baba
Unanipenda, na wala baba hautanitenda nikifanya tu vile unavyopenda, Baba Babaa

I wanna empress your love, everyday and night, Everything i need you have,, my life is alright
Iwanna empress my love everyday and night, everything i need u have, my life is so alright...

Woooooooooooooooooooo
Yeaaaaaaaaaaaaaaaah
News
Zach Bryan: Matthew McConaughey kündigt sein letztes Major-Label-Album an
Vor 1 Tag
Zach Bryan: Matthew McConaughey kündigt sein letztes Major-Label-Album an
Dschungelcamp bis ‚Let‘s Dance‘: Auf diese TV-Shows hat Yvonne Woelke Lust
Vor 13 Stunden
Dschungelcamp bis ‚Let‘s Dance‘: Auf diese TV-Shows hat Yvonne Woelke Lust

Album Autoportrait (1995)

Manu Dibango
  1. 1.
    Dikalo
  2. 2.
    Hot Chicken
  3. 3.
    Asinus Asinum Fricat
  4. 4.
    Soul Machine
  5. 5.
    Sneakin' Home
  6. 6.
    O Boso
  7. 7.
    Africadelic
  8. 8.
    Soul Makosa
  9. 9.
    Super Kumba
  10. 10.
    Mouvememnt Ewondo
  11. 11.
    Baobab Sunset
  12. 12.
    Big Blow
  13. 13.
    Kumbele Style
  14. 14.
    Waka Juju
  15. 15.
    Abelley Sphere
  16. 16.
    Makossa Blow
Made with in Berlin
© 2000-2025 MusikGuru