Mutoto Lyrics

Lyrics
Usiku inafika, tot'a mam'inapash'ulale
Duniani maneno, tot'a mam'inapash'ulale (2x)

Toto wa mama, usiku inakuja upumuzikewenjo?

Usiku inafika mtot'a mam'inapash'ulale
Duniani maneno tot'a mama inapasha ulale

Ouh

Hapa dunia ni mambo mengi mtoto'a mama
Mapendo ndo mwisho mungu alituomba

Ouh

Usiku inafika tot'a mam'inapash'ulale
Duniani maneno toto a mama inapasha ulale

Mtoto wa mama mlale
Writer(s): Lokua Kanza
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Was als nächstes?

Dein Karma steigt mit jedem Klick! Teile den Guru-Link und bring Lyrics in die Welt.

Lokua Kanza - Mutoto
Quelle: Youtube
0:00
0:00