The Rich, Dark, Sultry Red of Hate Lyrics

von Lifter
Lyrics
Song.mrembo with red mercury
Nasema kweli toka moyoni mrembo kwako nimekwama
Kama ni gari la mkoloni mwendo hauna lawama
Jua mapenzi ni burudani pale mnapo pendana
Tena huwa ni tafarani chuki mkiwekeana
(eeeii)mapenzi halua na tende utamu unafanana
Ukiwa na wako mpende msije kugombana
(helena wee)mi ndio wako mamy, we ndio wangu mamy, tupeane na tuendane tuwe furahani×2

Kiitikio
Moyo umekupenda mrembo
Nahitaji uwe wako wimbo, tutenganishwe na kifo
Wanao chonga tusiwajali mrembo.
Mrembo, mrembo, mremboooo
Mrembo eeeeh eeeh nana oooh.

[Verse]
Njoo unitunze mm, nikupe mapenzi ooooh
Aje ujiamini mmmhhh, na yako kwangu, uniamini iii, wangu mupenzi uuuuhhh
Tena halua na tende utamu wake we si unaujua
Na popote twende we ukiniacha mm ntaumia.
Wengi hawajui mapenzi matamu kwako oooh.
Namshukuru mola kwa roho yako oooh
Inshallah mola aliumba kwa udongo wa mchanga
We mzuri mwakalunga ila mama nakupenda(i love you)

Kiitikio
Moyo umekupenda mrembo
Nahitaji uwe wako huu wimbo
Tutenganishwe na kifo, wanaochonga
Usiwajali mrembo x2

Vionjo
Oooh mremboo, we ni mremboo x2
Oooohhh
Zoo record

The writer song is red mecury ft rich mavoko-mrembo
Lyrics writer is sabbaha a.k.a (dante moja)
Writer(s): Mike Coulter
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Was als nächstes?

Dein Karma steigt mit jedem Klick! Teile den Guru-Link und bring Lyrics in die Welt.

Lifter - The Rich, Dark, Sultry Red of Hate
Quelle: Youtube
0:00
0:00