Nta Mahitamo Lyrics

Lyrics
Enhaa. eyo boys forever featring one life

Hakunakinaniuma miminapo kifikiriya
Matatizo tunaishi nyumbani zetu minaliya
Ubaguzi familiani minaomba tubunguze
Unaluona hanamaana kwamaana anaishi
Utamuona wamaana ukiliya
Ai, kweli wewe sema lamwisho
Utamuona wamaana uki shanga
Eya; kweli yeye ametuacha


-B GLORY
Acheni niseme wazi
Niseme la wazazi
Kilasiku magombano baba mama kawaida
Utakutana bamzima anamupiga ye mama
Anamupiga kama ngoma utafikiri ye NYAMA
Wapi tunakwenda
Nini tunatenda
Kisha ye mtoto anabaki akiswali eti
We baba vipi
Unafanya nini
Unatenda kipi
Utaishi vipi
Mbele ya mtoto unafanya mambo ivio kweli
We baba nini, elimu gani hiyo
Mtoto ataona inakuwa kawaida
Naye wakati ataza nayekwake ivio ivyo
Uta mwambiya nini
Uta mchauri nini
Kweli yalemabo nakwambiya achana nayo
Kweli mambo haya nakwambiya
Yanaleta hayaa
ME GLORY, SABRA KEY mpampa

-(B GLORY)
On vie dans ce monde, la vie misérable
Et moi je comprend pourquoi on est pas stables
Partout la ou on passe toujours appréciable
Parce que on parle des choses importantes
Les problèmes familiaux, a cause de l'argent
Yes, yes sa choque mec
-(DANI)

Tout les jours dont je paie
Tout les jours dont je soufre
Ici au Congo, on manque quoi affaire
On se tue tout les jours, a cause de l'argent
Quoi peux je faire
Quoi peux je dire
Je manque quoi a faire et
Je manque quoi a dire, vraiment on soufre

Que tout le bord de l'excès
De piller, de voleur, de violé
De massacré les être de son business
La sensation le sentiments de mal propriété a faire
Wesé
De mal propriété a faire

-(EL SAMOS)
Wengi wamepewa jina nyingi oo
Kwasababu yakupana shingingi
Wanaitwa bishakoshi nawengine bigroupé
Utamuona baba fulani
Ndogo, zimetuma afukuzwe kanisani
Ameunguza mavazi ya zamani
Mavazi; mavazi ya kanisani oo
Kama siukweli nayosema mi
Marafiki nyote munitenge mimi
Munitenge mimi ooo

-(AMADOU)
Hakuna kinaniuma mimi mtoto wa africa
Minaliya mimi mtoto
Nakosakama nitafanyadje
Bado mimi ninaliya
-(ALL STON)
Yá learise a ngere man
It is the club boys forever and dj mishka
ALL STON mwanzo B GLORY ft EL SAMOS, DANI
Writer(s): Joseph Masengesho, Jezelle M Evans
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Was als nächstes?

Dein Karma steigt mit jedem Klick! Teile den Guru-Link und bring Lyrics in die Welt.

King James - Nta Mahitamo
Quelle: Youtube
0:00
0:00