Facebook
Twitter
Problem melden

One of Us Songtext
von Jaguar

Jaguar - One of Us
Quelle: Youtube
0:00
0:00
Usiende Mbali Nami...
Usiende Mbali Nami, Hata One Centimeter Away,
Away From Me,
Usiende Mbali Nami Hata One Centimeter Away,
Hata One Centimeter Away,
Hata One Centimeter Away, (Jaguar)
Hata One Centimeter Away, (A Mainswitch Production)
Always One Centimeter,

Ningeweza, Macho Yangu Yangekupiga Picha,
Niiweke, Milele Moyoni Mwangu,
Nikuone, Kila Time Moyo Unapodunda,
Moyo Unapodunda,
Moyo Unapodunda,
Ningeweza, Ningekuficha Kama Siri,
Mapenzi Yetu, Iwe Kati Yetu Wawili,
Ma Paparazzi, Wasikawahi Kutuona,
Kutuona,
Kutuona,
Wacha Nikulinde, Kila Siku Kama Commando,
Kama Commando,
Kila Siku Kama Commando,
Wacha Nikulinde, Kila Siku Kama Commando,

Kama Commando,
Kila Siku Commando,

Usiende Mbali Nami, Hata One Centimeter Away,
Away From Me,

Hata One Centimeter Away,
Usiende Mbali Nami Hata One Centimeter Away,
Away From Me,
Hata One Centimeter Away

Ningeweza, Ningeondoa Huzuni Kwako,
Usiwe Na Hofu, Siku Zote Maishani Mwako,
Ningeweza, Ningeondoa Wasi Wasi Kwako,
Usiwai Jali, Siku Zote Miashani Mwako,
Ningeweza, Ningefuta Machozi Yako,
(Machozi Yako)
Machozi Yako,
Usiwai Lia, Siku Zote Maishani Mwako,
(Maishani Mwako)
Maishani Mwako,
Wacha Nikulinde, Kila Siku Kama Commando,
Kama Commando,
Kila Siku Commando,
Wacha Nikulinde, Kila Siku Kama Commando,
Kama Commando,
Kila Siku Commando,
News
Stefan Raab und Bully Herbig: Erster TV-Auftritt endet in Niederlage
Vor 1 Tag
Stefan Raab und Bully Herbig: Erster TV-Auftritt endet in Niederlage
Anna-Maria Ferchichi: Weihnachtstraditionen sind ihr wichtig
Vor 11 Stunden
Anna-Maria Ferchichi: Weihnachtstraditionen sind ihr wichtig
Made with in Berlin
© 2000-2024 MusikGuru