Facebook
Twitter
Problem melden

Tamika Songtext

Tamika - Dully Sykes Tanzania

Rudini nyumbani Tamika
Kwani watoto wanateseka aah...
Nikikumbuka tulikutoka
Roho yangu inasononeka ooh...
2x

Yapata mwaka miezi tangu utoroke nyumbani mpenzi
Watoto wamekosa malezi sababu yako Tamika mpenzi ooh

Naomba piga japo simu unieleze unapoishi
Uchangamufu na ucheshi wako sasa nisimulizi

Watoto wanalia njaa na baba yao sina hata kazi

Nitakuja kupata uchizi
Sababu yako Tamika mpenzi

Refrain ---

Walimwengu sina furaha
Naishi kwatabu na ka raha
Naimba huku nasononeka
Kwa mambo aliyoyafanya Tamika

Uzuri wake akicheka nikimkumbuka nahusunika
Sina hata lakufanya

Au sababu mimi sina pesa
Moyo wangu unajuta

Ni jinsi gani ninavyokupenda
Wazazi wako hawajui mahali gani ulipokwenda

Hebu Tamika kwanza kumbuka
Huku nyumbani umeacha watoto
Na mimi mzazi mwenzako
Na kufikiria wewe uliko

Rudini ......

Nimemkosa
Nimetafuta
Mobasa
Nimetafuta
Kampala
Nimetafuta
Nairobi
Nimetafuta
Tamika
Dully Sykes - Tamika
Quelle: Youtube
0:00
0:00
Made with in Berlin
© 2000-2024 MusikGuru