Ning Are Lyrics

Lyrics
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are Yesu
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are
Umenifanya ning'are Yesu
Wewe waitwa nuru eti nuru ya watu
Ukiingia kwangu ninang'ara
Ndani ya hiyo nuru
Eti kuna uzima

Ukiingia kwangu ninauzima
Uso wake Yesu aliyesura yake mungu
Umeingia kwangu ninang'ara
Writer(s): Christina Shusho
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Was als nächstes?

Dein Karma steigt mit jedem Klick! Teile den Guru-Link und bring Lyrics in die Welt.

Christina Shusho - Ning Are
Quelle: Youtube
0:00
0:00