Im Baum Lyrics

Lyrics
Kololo kolo mawena na tip
Sheneida
I
Bana ndugu ebu leta tulivyo kabla mimi sijaondoka
Wanatuhadithia tatizo wakati si tushamoka
Weka bia tatu kwenye meza pale
Hiyo bili atalipa babu tale
We neema nenda ukalale
Si bado tupo mpaka mishale
Kila kitu barida

Unachotaka agiza
Chali muite Farida
Aje kabla sijamaliza
Bia nyingi nshakunywa nshalewa
Fala ukinisukuma ukinisachi mawe
Nani kamwaga pombe yangu
Si mimi eeh (nauliza) si mimi eeh*4
II
Nilitoka mara moja kwenda toi nkakuta vioja
Kademu na kamen wanatumiaga choo kimoja
Mnanipa wasiwasi bia yangu imebaki nusu glasi
Mbona mnanigasigasi natumia hela si makaratasi
Mbona unasumbuka sumbuka unaniangalia
Kama hauna funguka funguka nitakulipia
Acha zako za kibabe
Bia zako za mazabe zabe
Ukiondoka nauage wasije machizi wakukabe eeh
Nani kamwaga pombe yangu
Si mimi eeh (nauliza) si mimi eeh*4
Mi nina hasira we unacheeka
Mi na hasira we unacheeka
Mi nina hasira we unacheeka
Mi na hasira we unacheeka
Si tupo mpka mishale vituko mpaka mishale
Si tupo mpaka mishale milupo chapa ikalale
Si tupo mpka mishale vituko mpaka mishale
Si tupo mpaka mishale milupo chapa ikalale
Nani kamwaga pombe yangu
Si mimi eeh (nauliza) si mimi eeh*4
I go by the new name shaneida
Sio mimi eeh….till fade
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Was als nächstes?

Dein Karma steigt mit jedem Klick! Teile den Guru-Link und bring Lyrics in die Welt.

Andy Stanton - Im Baum
Quelle: Youtube
0:00
0:00