Algebra Lyrics
von Algebra
Kila ubaya kifuatacho ni kibaya na ubaya ukizidi.
Kifatacho haya, umalaya ukuzidi bas kifatacho ni jeneza
Saka pesa mchana jioni kifatacho kupendeza au saka pesa kwanguvu kifatacho ni kuchunwa
Au cheza kamari, kifatacho ni kupunwa.fanya ngoma kali kifatacho ni kuwika
Leo ringa na uhai kesho kifatacho ni kuzika.tunafurahia kifatacho mapinduzi.
Kwa algebra ukiwasha biti kifatacho makamuzi.mastaa wabogo bata kifatacho kufulia.
Nipo na demu wako ghetto kifatacho chungulia, piga chabo la uhakika kifatacho shuhudia.
Kama roho nyepesi bob kifatacho kuzimia.bongo kazi vyeti mbele kifatacho ni cv.
Bongo muvi fyongo tupu.tupu... cheki kifatacho ITV
Skiza kifatacho
Skiza kifatacho
Skiza kifatacho
Skiza kifatacho
Nikitajwa napanda steji kifatacho ni gharika, eti nyomi kwako kwangu kifatacho kufurika.
Yes... nikisemwa kifatacho kutimizwa, cheza... epuka kwa wabishi kifatacho kukimbizwa.
High hills kifatacho ni vigimbi, good dills kifatacho ni masimbi.
Zibua mgambo za uso kifatacho ni filimbi.ujamwaga mpunga kwa meza kifatacho mi siimbi.
Wana wamepinda kifatacho bisibisi.ukidharau kipaji changu kifatacho sina jinsi.
Kampeni zikifika kifatacho ni ahadi, wakipata kura, cheki kifatacho ni ufisadi.
Tukidai haki kifatacho ni mabom ya machozi, hatuna jipya kifatacho ni makovu na majonzi.
Bongo kazi vyeti mbele kifatacho ni CV.bongo muvi fyongo tupu... tupu... cheki kifatacho ITV
Skiza kifatacho
Skiza kifatacho
Skiza kifatacho
Skiza kifatacho
Umalaya ukizidi basi kifatacho ni jeneza

Lyrics powered by www.musixmatch.com
Was als nächstes?
Dein Karma steigt mit jedem Klick! Teile den Guru-Link und bring Lyrics in die Welt.
-
Beliebte Algebra Lyrics
Link kopiert!
Algebra - Algebra
Quelle: Youtube
0:00
0:00